CHEDU
Senior Member
- Dec 24, 2015
- 198
- 190
Habari wanajukwaa,
Haya masuala ya kuuliza makabila ya watu kwenye ofisi za umma yanakera sana na yanachochea ubaguzi wa kikabila, nafikiri ni muda sahihi sasa wa kuyapiga marufuku hasa tunapoekea kutafuta kabila mpya.
Haya mambo utayakuta Polisi, JKT, Hospitali, bodi ya Mikopo n.k
Kwakweli tuyapinge kwa nguvu sana.