Nenda taasisi fulani inayojishughulisha na hela za serikali ndio utashangaa wanaongea lugha ya kikabila ofisini. Ni watu wa Mara tupu siku hizi wamejaa.Habari wanajukwaa,
Haya masuala ya kuuliza makabila ya watu kwenye ofisi za umma yanakera sana na yanachochea ubaguzi wa kikabila, nafikiri ni muda sahihi sasa wa kuyapiga marufuku hasa tunapoekea kutafuta kabila mpya.
Haya mambo utayakuta Polisi, JKT, Hospitali, bodi ya Mikopo n.k
Kwakweli tuyapinge kwa nguvu sana.
Vipi kuhusu vitabu vya nyumba za kulala wageni au hoteli? Huwa unalikwepaje swali la kabila lako?Mimi nikienda mahala mtu akaniuliza kabila langu hapohapo namchukulia kama Mjinga, Mpumbavu na Mshamba.
Nashangaa kwenye kadi za baadhi ya mahospitali na Polisi huko huwa wanauliza makabila ya watu.
Stupid!
Nchi ni makabila lazima ijulikane kabila haina mjadalaHabari wanajukwaa,
Haya masuala ya kuuliza makabila ya watu kwenye ofisi za umma yanakera sana na yanachochea ubaguzi wa kikabila, nafikiri ni muda sahihi sasa wa kuyapiga marufuku hasa tunapoekea kutafuta kabila mpya.
Haya mambo utayakuta Polisi, JKT, Hospitali, bodi ya Mikopo n.k
Kwakweli tuyapinge kwa nguvu sana.
Vile huwa sijazi kabisa taarifa zozote, wakilazimisha sana nadanganya.Vipi kuhusu vitabu vya nyumba za kulala wageni au hoteli? Huwa unalikwepaje swali la kabila lako?
Ili watambike?Nchi ni makabila lazima ijulikane kabila haina mjadala
Ipo hivo na itaendelea hivyo kama hutaki hamia Burundi kuna makabila mawili tuIli watambike?
Kwanini nisijulikane kama Mtanzania?
Nimekuuliza wanauliza ili iweje?Ipo hivo na itaendelea hivyo kama hutaki hamia Burundi kuna makabila mawili tu
Nini umuhimu wa kujua chimbuko zaidi ya kujua tu kuwa ni Mtanzania?Kuulizwa ukabila ,shida ipo wapi ? Waafrika tuna dhana duni Sana , kila mtu anachimbuko la atokako , be proud ,miye Sina tabia ya kuuliza mtu ,Ila nikiulizwa najibu vizuri tu
Ni utambulisho wa mipaka, asili na usalama wa nchi yetu, hili swali waulize uhamiaji utajibiwa ndio utaelewa wewe hapa Tanzania sio kwako uende BurundiNimekuuliza wanauliza ili iweje?
Makabila yanaulizwa ili kuwa na takwimu za tabia,magonjwa kwa kila kabila...mfano sickle cell ipo nyingi tabora,so tungekua tumeadvance kisayansi tulipaswa chunguza sababuMimi nikienda mahala mtu akaniuliza kabila langu hapohapo namchukulia kama Mjinga, Mpumbavu na Mshamba.
Nashangaa kwenye kadi za baadhi ya mahospitali na Polisi huko huwa wanauliza makabila ya watu.
Stupid!
wewe nimiongoni mwa wanaoficha kabila kabila lakoHabari wanajukwaa,