GE2025 Suala la kuzima mitandao linatuathiri sana sisi wafanyabiashara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii nchi ina viongozi wajinga wasiojua kusoma alama za nyakati, kama mtu mmoja anafanya mnazima mitandao siku wakiwa 100?
 
Kiufupi ni kwamba kwa kiasi kikubwa huduma za kibiashara hapa tz, hutolewa kwa njia ya mitandao Sasa inapotokea suala la mtandao kuzimaa tayariiii unakuwa umekwamisha shughuli ya biashara kwa ujumla
 
Kazi iendelee mitano tena na oktoba mnakitwa
 
Mimi huwa natumia Facebook na huwa naongea na client wangu kuanzia saamoja jioni Ila mtandao umezimwa so sad
Huwa naomba atokee mbunifu hata mmoja,abuni mtandao usioweza kuzimwa na yeyote,labda ye mbunifu pekee awe na password yakipekee.,hivi ili kwanini haliwezekani??
 
Nchi hii ni wakati waxkuomba sana Mungu kuna jambo halitosis sawa huyo polepole si angee pumba na Michele uonekane inafanya watu waanini ni ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…