GE2025 Suala la kuzima mitandao linatuathiri sana sisi wafanyabiashara

GE2025 Suala la kuzima mitandao linatuathiri sana sisi wafanyabiashara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
HATA MSIPOPATA WATEJA KABISA AU MKIOTEA HAO WANAOJUA VPN POA TUU, UZURI CCM INATUPIGA WOTE HAICHAGUI CHAMA, ENDELEENI KUVUMILIA UB00 WA BIBI KIZIMKAZI NA BADO
 
Pascal Mayalla atakuja kusema mitandao haijafungwa na Tanzania ina uhuru wa habari kuliko hata US.

Huku akisema ni mtandao umezidiwa tu kutokana na mama kutengeneza mazingira wezeshi watanzania takriban milioni 60 kati ya 61 wanamilki smartphone na wanaperuzi hadi kuuzidi mtandao nguvu.
 
Wakuu hii haijakaa sawa kabisa.

Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao .

We are not serious.
Kama nchi inaendeshwa kwa uwazi na ukweli kuna shida gani kama mtandao ukiachwa wazi? Wanazima kuficha nini?
 
Back
Top Bottom