The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa.
Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo.
Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi ukawaondoa kwa mwezi mmoja kama takataka.
Hakuna anayefurhia msongamano pale kariakoo, lakini tukumbuke siyo kosa la mahinga kukaa hapo kwa miaka yote hiyo..maana miaka ya kampeni huwa wanaruhusiwa kupanga bidhaa hadi lango la ikulu.
Machinga wanapaswa kuondoka maeneo hayo kwa utaratibu maalumu usiopungua miaka 15 lazima tujali utu na mahitaji yao..
yale machawa yanajitokezaga kuwasemea machinga kukataa maandamano huwezi kuyaona nyakati muhimu kama hizi utapeli na ujinga mtupu.