Suala la Mafuta Spika acha unafiki ulishauriwa uunde tume mwaka mmoja umepita ukapuuza

Suala la Mafuta Spika acha unafiki ulishauriwa uunde tume mwaka mmoja umepita ukapuuza

Shakari

Senior Member
Joined
Jul 6, 2022
Posts
188
Reaction score
570
Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe.

Leo umeona Makamba hayupo ndio unajifanya kuunda tume ukamchunguze Dotto Biteko huku ukijua matatizo hayo ameyasababisha nani na kwa manufaa gani

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina alikushauri bungeni mwaka jana na ushahidi huu hapa na ukapuuza leo unajifanya kuigiza Serikali ikafanye tathmini badala ya wewe Spika kuunda Tume Huru ya Bunge kuchunguza suala hili.



View: https://youtu.be/oy6DoaJUiF0?si=iplj4raDQNPtwI5H
 
Back
Top Bottom