Tatizo la mafuta ni kupandishwa kwa kodi ya "import duty" kwenye budget ya mwaka jana toka asilimia 10% mpaka 25% ukiagiza mafuta ghafi hapo bado VAT, ndio maana mafuta yalipanda bei sana, mfano Vat 18%, import duty 25% railway levy 1.5 % unapata ni ailimia 44.5 ya mzigo uliogiza bado gharama na ushuru wa bandali lazima bei iwe juu.