ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Asante sana.nilitaka kujua serikali imepanga nini kwa hawa vijana walioko jkt kwa mujibu wa sheria,kuhusu udahili na mikopoMkuu ni either umemfanyia or hajafanya huko alipo.
Na 90 percent kama hujamfanyia na hujawasiliana nae kwa lolote bas hajafanya kitu.
I see.tatizo watoto wako kule,lkn hakuna lolote linalo ongelewa na TCU Wala bodi ya mikopo.its unfair kwa kweliHuwa wanapewa muda wa kurudi ku apply. Na licha ya ivoo ata kule walipo Kuna nafasi za kufanya maombi ya chuo na mikopo. Kwaiyoo sio jambo la kutatiza
Kwa namna hii,kweli serikali inaonekana jeshi halina maana tenaTulisema imekula kwao mkatetea serikal aliyeenda huko ammepoteza mda wake