Suala la Mashoga lamponza Dudubaya. Apandishwa kizimbani kwa makosa ya kimtandao na kutoa lugha za matusi dhidi ya jamhuri na Kusaga

Suala la Mashoga lamponza Dudubaya. Apandishwa kizimbani kwa makosa ya kimtandao na kutoa lugha za matusi dhidi ya jamhuri na Kusaga

Ku-prove ni yeye aliandika ni changamoto mzee.

Account tu sio issue,i la ishu ni kusema kwa uhakika beyond reasonable doubt kwamba ni yeye kweli owner wa hiyo account.

Thats a toll order
Hivi wakili wa washtaki yaani serekali akisema uchunguzi umekamilika unaelewa nini?
 
Acha kujitoa ufahamu. Shoga ni ms.enge. Hakuna tafsiri tata hapo. Na kujihusisha na usenge au wasenge ni kashfa kubwa sana.
Katazame kamusi ya kiswahili maana ya neno shoga. Acha kushupaza shingo kwa kuwa umeona jina Dudubaya.
 
Makanjanja mna shida sana!

Mwenyewe umekaa hapo na katekno chako masikini unajitia mchambuzi wa sheria!!

Wajuaji kama ninyi mkitandikwa nyundo mnaanza kuhamaki na kumwaga vilio!

Just chill bro! Usijifanye una maarifa kuliko mahakama!
Punguza makasiriko. Hakuna kesi yoyote hapo wanapoteza muda wa mahakama.
 
Kisheria Joseph kusaga sio sawa na Joseph was clouds. Hayo Ni majina mawili tofauti watu wawili tofauti.
Hapo Joseph kusaga ambaye anashtaki anatakiwa athibishe kuwa yeye ndiye Joseph mtajwa kitu ambayo Ni ngumu

Unakumbuka kesi za lisu kumkashifu rais? Issue Ni rais yupi wakati hata UDSM, TFF Kuna rais
The same kwenye hii drama Ila again dudubaya aache ujinga wa kuwadhalilisha watu
Kesi ni ya Jamhuri na huyo kusaga ambaye ni victim atakua shahidi tu.
 
Jamani tafadhali tuwekeeni picha ya huyo mdudu, wengine hatujuwi anafanana na mdudu wa namna gani, tunataka kumfananisha na wanyama wa hapa Serengeti.
 
Wee mama ni dhahiri weledi wako ni finyu. Unaona Kusaga kwenda mahakamani ni mjinga? Au una advanced degree ya Kiswahili labda hadi ukakamae na maana halisi ya neno “shoga”? Huyu mtuhumiwa ana historia ndefu ya kutoa maneno na tuhuma za ushoga kwa maadui zake haswa wafanyakazi wa Clouds Media. Kwa hiyo yote haya yatazamwe kwa jicho hilo.
Kwanza wee unajibu ki pupa hivyo vipi? Afu nani anayeona ujinga kusaga kwenda mahakamani? rudi juu kasome comments zangu utaelewa.

Mie nime muhoji kuhusu maana halisi ya neno shoga.
Huyo dudubaya anajulikana wazi ni mshenzi wa tabia, na hakna kificho, sheria ifuate mkondo wake na haki ipatikane.

Nipo upande wa kusaga.
 
Back
Top Bottom