Suala la Mbowe nilifikiri mtaani kutachimbika ila naona watu wamesusa

Mama kawafanyia ubinadamu kuagiza haki na kufutwa kesi za kubambikiwa ninyi mkaanza kumtukana na kumdharau hata kudiriki kutamka " mwambieni yule Mama tutamnyoa". Tuliwaonea sana huruma kipindi kile mnapitia magumu na mateso lakini sasa kumbe ndio mlikuwa mna enjoy?
 
Hio gharama za kumkamata Mbowe si wangepeleka kijiji chochote ikanunue madawati
 
Hawana Jema Hawa wajinga, Rais wa nchi unamwambia utamnyolea wembe uliye mnyolea mwenzake, Tena washukuru ni mama , aisee mm niwe Rais then mtu aniambie hivyo hakika Leo hii angekuwa Kesha nionyesha ule wembe,
Shida wengi wa sakos Ile n tumbaku kwa sana hakuna mzima, mm nadhani kwenye katiba yao ili uwe mwanachama lazima ujue kupuliza Ile tumbaku kubwa.
 
Masoko na petrol stations 90% ni za wana CCM , vinywaji na internet service provider zote ni za sana CCM sijui una maanisha nini?
 
Wamewakataa.....

Watanzania wamewakataa....

Hebu waangalie watu Hawa....

1)Lema
2)Mbowe
3)Lissu

HAKUNA MTANZANIA makini ataingizwa BARABARANI na watu hao......

Wamesuswa...
Wamekataliwa....

#KaziIendelee
#UtulivuKwanza
 
Ila hao 10 ndo wenye akiri kuliko kijiji kizima ukiwemo wewe.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mnataka kupandikiza mbegu ya chuki kwenye nchi yetu? Yote hayo ni kwa ajili ya mbowe kua ndani? Mbona Sabaya mlishangilia kua ndani? Ina maana magereza ni kwa wana ccm tu?
Eleza kitu kibaya alichofanya mbowe, nadhani huna hata 1, ila ona watu walivyolia jinzi Gaidi sabaya alivyo haribu na kuiba Mali zao.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Reputation ya nchi wenye mambo ya utawala bora inaharibika kwenye macho ya kimataifa.
 
Masoko na petrol stations 90% ni za wana CCM , vinywaji na internet service provider zote ni za sana CCM sijui una maanisha nini?

Tutaenda kwenye 10% ambazo sio za wanaccm. Na kwakuwa misiba na sherehe 90% ni ya wanaccm, itatusaidia kutokupoteza muda kuhudhuria misiba na sherehe zao.
 
Lile la kuisusia Vodacom ilishia wapi? ifike wakati tukubali uhalisia tuache kujifurahisha humu.
 
Lile la kuisusia Vodacom ilishia wapi? ifike wakati tukubali uhalisia tuache kujifurahisha humu.

Kila mbinu inatumika na hao Vodacom wanajua uwepo wetu. Wanajua fika hatukubali kuburuzwa kama makondoo wengine wa nchi. Uhalisia ndio huo wa kura za kwenye mabeg meusi?
 
Kila mbinu inatumika na hao Vodacom wanajua uwepo wetu. Wanajua fika hatukubali kuburuzwa kama makondoo wengine wa nchi. Uhalisia ndio huo wa kura za kwenye mabeg meusi?
Kususia Vodacom kuliishia wapi?
 
Watu wamemsusia Mbowe baada ya kutaka chanjo ya uviko iwe lazima kwa kila mtanzania.
Tukajua kumbe ajenti wa astra zeneca tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…