Suala la Mbowe nilifikiri mtaani kutachimbika ila naona watu wamesusa

Hilo unalosema liliwezekana enzi za sheikh Ponda kipindi cha Sensa. Waislamu walikinukisha akaachiwa chap. Maisha magumu, watu hawawezi kujiongezea shida zisizo na ulazima. Kila mtu ashinde kwao.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Naona Leo mmevamia jukwaaa kwa kasi kubwa na agenda ni moja tu
 
Naona Leo mmevamia jukwaaa kwa kasi kubwa na agenda ni moja tu
Kama jinsi nyinyi mlivyovamia wakati wa Sabaya. Mkuki kwa nguruwe, ila kwa binadam mchungu. Kuna msemo unaosema "kutesa kwa zamu" kwahiyo zam yenu ya kutesa iliishi kipindi cha Sabaya na maisha yakaendelea. Sasa zam yetu utulie hivyo hivyo kama unaesikilizia kitu kigumu kule chini.
 
Ukitaka kujua upuuzi wa wanasiasa wa Tanzania hasa wale wanajiita wanachama damu wa CHADEMA ni kwenye vipindi kama hivi.

Yaani hata wao hawaonekani barabarani, ila kwa kujitoa mhanga kwenye mitandao wapo full 😁!.

Now ndiyo walipaswa tuwaone umoja na mshikamano wao kwa great chairman wao, makamu mwenyekiti katoa tamko ila mwisho wa siku ni blue print!.
 
Kwa hiyo nyie maccm ndo mko vizuri, tozo na uchumi wa maisha haviwahusu
 
Makamu mwenyekiti katoa tamko akiwa ughaibuni ana zisakisia Nyumbu huku Serengeti,
Bahati nzuri wote wameshtuka hawavuki tena, hakuna Nyumbu mjinga Tena siku hizi,
 
Ok hivyo hivyo kea wasio wapinzani yaani tozo mara mbli alafu kuna watu wamechota mihela BOT wapo mtaani wanadunda , alafu watu wajinga
Watu kama wewe mnakenua
 
Kweli??
 
Kushiriki siasa si kuwa na akili ndogo, si kila uambiwacho na viongozi wa kisiasa utekereze, Kuna yanaowahusu wao inabidi wayamalize wao, Sisi hatukumtuma huyo jamaa yenu ajihusishe na mambo magumu kama hayo, ayamalize yeye!!
 

Mie sio muumini wa siasa za vyama. Ninaamini katika hoja na hata ninao mwana umefunguka kuzungumzia vitu vilivo na akili zilizopitwa na umri wako! Kwani kukiwa na wanacha 10 na mwingine ana milioni 10 - hoja ni nini? Kuwa wale 10 wanalipa kodi kubwa zaidi? Au nyumba zao zina mabomba ya maji au wanatibiwa bure??

Mkuu, inua kiwango cha ufahamu - la sivo utakuwa kazi yako kupigia vigelegele wanaume wenzio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…