Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji
Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona madustibin ila huwezi ona watu wakitupa tupa uchafu hovyo
Miji mipya kama goba na chanika ambayo haina hata miaka 30 ni ya juzi tu ila ajabu imejengwa squatter haijapangaliwa
Nyerere alisoma edinburgh kabla hata nchi haijapata uhuru swali ambalo najiulizaga inamaana baada ya uhuru alishindwa kuweka mifumo mizuri ya upangaji miji na vijijini sababu alishawahi enda na kuishi ulaya kabla hata ya uhuru
Marais wetu wanafanya sana safari za nje ya nchi hivi hawaoni aibu wanaporudi na kuona nchi zao zipo bila hata mpangalio yaani ni virugu mechi
Yaani miji ya afrika yote inafanana michafu, haijapangiliwa na viongozi wapo ukitoa ile ya afrika kaskazini kule kuna mpangilio sio kama huku sub sahara
Mchango wako ni muhimu