Nyakitagara
Member
- Feb 7, 2019
- 57
- 90
Inasikitisha,wakati hawa viongozi wakiweka mikakati na kila mtu akafanya kazi yake mafanikio yapo.Rushwa imeua nchi yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi kifanyike kituHuhitaji kwenda ulaya ili kubaini jinsi nchi yetu isivyofuata mipango miji katika ujenzi. Ukisafiri kwa ndege na kutua Nairobi mchana au hata Kigali utaona jinsi miji hii inavyoakisi ujenzi unaofuata mpangilio fulani. Dar es salaam ukiingalia kutoka juu wakati wa kutua tena mchana, ni majanga makubwa!. Dar es salaam ni mkusanyiko wa vijiji vingi ambapo kila mwenye pesa zake anajijengea kulingana na kiwanja alichonunua kwa wakwere....Aibu!😎
Wanaoweza kufanya kitu wako nje ya mfumo na hawana namna ya kuingia kwenye mfumo uliohodhiwa na chama Dola.... Kama si kwa kujuana hongo au kutumika tu kama dodoki.Inabidi kifanyike kitu
Wapangaji miji si ndio hao ambao wanafanyiana mitihani, utategemea miji kupangwa na kupangika kwa wataalamu kufanyiana mitihani!! Wataalamu wa ARU wanaliaibisha Taifa. Nchi haiTanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji
Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona madustibin ila huwezi ona watu wakitupa tupa uchafu hovyo
Miji mipya kama goba na chanika ambayo haina hata miaka 30 ni ya juzi tu ila ajabu imejengwa squatter haijapangaliwa
Nyerere alisoma edinburgh kabla hata nchi haijapata uhuru swali ambalo najiulizaga inamaana baada ya uhuru alishindwa kuweka mifumo mizuri ya upangaji miji na vijijini sababu alishawahi enda na kuishi ulaya kabla hata ya uhuru
Marais wetu wanafanya sana safari za nje ya nchi hivi hawaoni aibu wanaporudi na kuona nchi zao zipo bila hata mpangalio yaani ni virugu mechi
Yaani miji ya afrika yote inafanana michafu, haijapangiliwa na viongozi wapo ukitoa ile ya afrika kaskazini kule kuna mpangilio sio kama huku sub sahara
Mchango wako ni muhimu
Walipoishia waingereza ni Upanga, Posta, Oysterbay, Msasani, Masaki; hadi kesho hatujaweza kupanga kwingineko! Naelewa kwanini ilitupasa kutawaliwa na wakoloni.Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji