Hivi nimeshakutana na watu kama watatu wakiliona suala la wenza wao kuwa na urafiki sana na wanaume kuliko wanawake. Kisingizio wanawake hawapendani. Nao wanaridhika kabisa
Kuna kuwa kuna urafiki wa kawaida kweli? Au kuna urafiki wa kunufaishana?
Hakuna urafiki Wa mwanaume na mwanamke. Mara nyingi urafiki Wa mwanaume na mwanamke unaushia kulana kimasihara.
Hyo wasitudanganye Nina mifano kama mitatu iliyo hai. Yaani mwanamke anayejifanya rafiki kwa mwanaume inafika siku unamtafuna bila hata kutongoza tena bila hata watu kutilia mashaka.
Upo urafiki wa KE na ME, mimi ninarafiki yangu huu ni mwaka 5,
hatujawai kuongelea kuhusu kukulana na sijawai kumtamani tunaongea mengi sana tunatembeleana na ananiamini kuliko hata mpenzi wake nimekuwa mshauli wake mkuu.
Ni hobbie tu na mapenzi ya mtu.Wengine hawapendi umbea.Alafu mwanamke anapokuwa na wanaume muda mwingi wanamrespect sana na kumchukulia kama dada yao so inategemea sana ni grupu gani