Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

Huyo aliyekutwa nayo aliomba idhini ya mahakama? Swala siyo hairuhusiwi ,inaruhusiwa kwa idhini ya mahakama baada ya shahidi kuiomba mahakama.
 
Huyo aliyekutwa nayo aliomba idhini ya mahakama? Swala siyo hairuhusiwi ,inaruhusiwa kwa idhini ya mahakama baada ya shahidi kuiomba mahakama.
Anaiomba mahakama kuingia nayo kizimbani au kuitumia/refer? Ninavyojua mimi shahidi anaomba mahakama ku refer na wala siyo kuingia nayo kizimbani.
 
Anaiomba mahakama kuingia nayo kizimbani au kuitumia/refer? Ninavyojua mimi shahidi anaomba mahakama ku refer na wala siyo kuingia nayo kizimbani.
we mbuzi, atarefer ikiwa nyumbani kama hakuingia nayo?
 
Kweli , lakini utangulize ombi mahakama iwe na taarifa, siyo Kama alivyofanya huyu, hiyo ni haramu.
 
nashukuru unakubali kuwa shahidi hakatazwi kuwa na hizo docs pale kizimbani. haona akili zimeanza kukurudi hauendi kama nyumbu tena.

Sijawahi kuwa nyumbu. Huo u - nyumbu ubaki nao wewe na uwe wako sawia...
Mosi, kwani wewe unaweza kujuaje kuwa hakuwa anavitumia hivyo vitu?

Ni rahisi mno ku - prove kuwa alikuwa anavitumia kuliko kusema alikuwa havitumii.

Why..?

It's because ushahidi ni "KUONA na KUSIKIA" na hapa "KUONA" ndiyo ina - apply. Na basically, hubishi kuwa alipokaguliwa kweli "ALIKUTWA NAVYO", au siyo?

Najua utasema "aliyeona" ni Prof. Jay na kumtonya wakili Kibatala kwa kumwandikia kimemo/text msg. Hili unaweza kulipindua tu iwapo utatuambia kuwa sheria inataka wakili mwenyewe ndiyo aone na siyo mtu mwingine...

Lakini kama hiyo haipo ktk sheria, then that's a proof and it's obviously that, aliyeona [Prof. Jay] ndiye anaweza kuwa shahidi wa kuthibitisha....
No, hakuna uthibitisho kuwa alivitumia, jaji hakumwona shahidi, mawakili wa utetezi hawakumwona, kibatala anasema kuna mtu amekaa kule kwenye viti prof j amenitumia msg, kweli hadi prof j aone wewe uliye karibu na shahidi usimwone?

You are contradicting yourself...

Kwani sheria inasemaje juu ya "kuona?". Nani anapaswa kuona?
uoni kama kibatala ali act kwenye mambo ambayo hana uhakika nayo akaimove mahakama kuanza kuhangaika na kitu cha kijinga?

Are you truly serious? Hana uhakika navyo!!?? Unaongelea uhakika gani wewe? Kwa sababu hoja ilitolewa, Jaji akaikubali na shahidi alipokaguliwa kweli akakutwa na vitu hivyo. What kind of assurance you wanted Kibatala to have?
na ndio wakili wenu huyo mnategemea amtoe mbowe, hivi mbowe amewakosea nini aisee hadi mnamtelekeza hivi, kuna mawakili kibao wazuri huko?

chapwa24, hakuna kesi ya kumfunga mbowe hapo kwa sbb hata mtu ambaye hajui a,b,c za shaeria aliona hili tangu shahidi wa kwanza wa jamhuri Afande Kingai aanze kutoa ushahidi wake...

Kama ni kumfunga, basi si kwa sababu za kisheria bali ni kwa sababu watakuwa wametaka afungwe...!!
nawewe,nijibu swali hili ambalo litakupa majibu ya maswali yako yote? Je, kuna uthibitisho pasi na shaka kwamba shahidi alisoma diary hiyo? ridhaa tunajua hakuwa nayo, ila kusoma alisoma au hakusoma? prove it.
Prove wewe kwamba hakusoma!!

Mimi ni rahisi mno kusema alikuwa anasoma kwa sbb ni kweli alikuwa na vitu vyote hivyo kizimbani...!!

Sasa, prove na wewe kama hakuwa anasoma. Na I am sure kwa jinsi unavyokomaa si ajabu ukaja na argument hii;

Kwamba;

Yes, proof ni kuwa "..baada ya kukaguliwa hakukutwa na vitu hivyo" na kwa hiyo asingeweza kusoma notebook/diary ambayo hana!!
 
Hata ukitetea vipi, kesi imepinda sana kwa kutunga uongo, na uongo unawaweka pabaya waliotunga, ndo maana shahidi aliingia saa saba akipigwa kwanza tuition.
 
BUSH LAWYER [emoji2][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…