Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Huja submitHuu mfumo umenizuia nikose mshahara mwezi wa tatu na sababu unazopewa jaza subtasks sasa sijui ni mtu gani asiyejitambua kwa mwezi wa tatu awe hajajaza hizo vitu zao kama wanavyotaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huja submitHuu mfumo umenizuia nikose mshahara mwezi wa tatu na sababu unazopewa jaza subtasks sasa sijui ni mtu gani asiyejitambua kwa mwezi wa tatu awe hajajaza hizo vitu zao kama wanavyotaka.
Kama wanapanda wa 2021..hapo nahitaji kuuliza nipo kwenye mpango?Ulikuwa kwenye mpango wa kupanda?
Ndugu, hilo swala la ku"submit" nalijua na ninafanya kila mara na afisa utumishi ameona yeye mwenyewe kuwa tatizo halipo kwangu. Najua na naelewa ninachokisema.Huja submit
Umeanza vizuri. Ila mwishoni ndiyo umeharibu.Habari za wakati wajumbe.
Hili suala la PEPMIS naona kwa mtazamo wangu kama lina maswali mengi sana kuliko majibu.
Japo lengo la serikali ni zuri kabisa, la kutumia mifumo ya tehama na teknolojia kufanya performance appraisal lakini niishie kusema kwa mfumo huu naona kabisa halitatimia.
Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaibua sintofahamu juu ya uhalisia wa mfumo huo na namna unavyofanya kazi
1. Watumishi wengi hawana mafunzo muhimu kuhusu jinsi ya kutumia mfumo huo ipasavyo.
2. Kulazimisha mfumo uanze kufanya kazi mapema ilhali watu hawana uelewa nao.
3. Mfumo kutokuwa stable na unakuwa mzito mno.
4. Kutumia mfumo kupima watumishi jambo ambalo haliwezi kuwa kipimo sahihi cha kupromote watumishi kwasababu watumishi wengi wanaforce kujaza asilimia zifikie 60+
USHAURI
1. Serikali iandae fomu maalum zitakazojazwa na watu tofauti (supervisors) ili itumike kama atachment ya uthibitisho wa kazi.
2. Serikali itoe mafunzo kwa ngazi zote na itoe muda zaidi ili watu wauelewe huo mfumo.
3. Kurekebisha hali ya mfumo kuzidiwa.
4. Kwa kuzingatia changamoto zilizopo sasa ni uhakika kwamba promotions za mwaka huu zina walakini, hivyo kwa kuanzia serikali iangalie namna bora zaidi ya kukwepa lawama kutoka kwa watumishi.
Serikali hoyeeeee
CCM HOYEEEEEEE
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIII
Basi una beef na mkuu wako..msimamizi wako kwa sabab kinachofanyika ni jina linapelekwa. Mfumo hauna uwezo wa kum stop pay mtumishi. Hiyo unafanywa manually.Ndugu, hilo swala la ku"submit" nalijua na ninafanya kila mara na afisa utumishi ameona yeye mwenyewe kuwa tatizo halipo kwangu. Najua na naelewa ninachokisema.
Naona beef lake basi limeisha sasa tuanze kudai mishahara yetu.Basi una beef na mkuu wako..msimamizi wako kwa sabab kinachofanyika ni jina linapelekwa. Mfumo hauna uwezo wa kum stop pay mtumishi. Hiyo unafanywa manually.