Suala la PEPMIS: Serikali ikae chini ikatafakari upya

Huu mfumo umenizuia nikose mshahara mwezi wa tatu na sababu unazopewa jaza subtasks sasa sijui ni mtu gani asiyejitambua kwa mwezi wa tatu awe hajajaza hizo vitu zao kama wanavyotaka.
Huja submit
 
Umeanza vizuri. Ila mwishoni ndiyo umeharibu.
 
Ndugu, hilo swala la ku"submit" nalijua na ninafanya kila mara na afisa utumishi ameona yeye mwenyewe kuwa tatizo halipo kwangu. Najua na naelewa ninachokisema.
Basi una beef na mkuu wako..msimamizi wako kwa sabab kinachofanyika ni jina linapelekwa. Mfumo hauna uwezo wa kum stop pay mtumishi. Hiyo unafanywa manually.
 
Basi una beef na mkuu wako..msimamizi wako kwa sabab kinachofanyika ni jina linapelekwa. Mfumo hauna uwezo wa kum stop pay mtumishi. Hiyo unafanywa manually.
Naona beef lake basi limeisha sasa tuanze kudai mishahara yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…