Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele? nilitegemea serikali iseme tunajenga shule zikikamilika tunasimama kwa muda kukusanya tozo mpaka wananchi waseme kama wanaridhishwa na matumiz ya pesa zao!
Tunapenda kuona mapato na matumizi ya Hela zetu.