Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Tangu lini wezi wakawa na huruma?Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele? nilitegemea serikali iseme tunajenga shule zikikamilika tunasimama kwa muda kukusanya tozo mpaka wananchi waseme kama wanaridhishwa na matumiz ya pesa zao!
Tunapenda kuona mapato na matumizi ya Hela zetu.
Anzeni kuwahurumia watu wa Vijijini kwanza ndio muanze kuongea huo ujinga..Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele? nilitegemea serikali iseme tunajenga shule zikikamilika tunasimama kwa muda kukusanya tozo mpaka wananchi waseme kama wanaridhishwa na matumiz ya pesa zao!
Tunapenda kuona mapato na matumizi ya Hela zetu.
tozo ingekuwa inakata mjini halafu hela ziende vijininAnzeni kuwahurumia watu wa Vijijini kwanza ndio muanze kuongea huo ujinga..
Nina Hakika watu wa Vijijini watawapiga Mawe nyie tumbili wa Mijini.
Inakata kote na pesa nyingi inaenda Vijijini.tozo ingekuwa inakata mjini halafu hela ziende vijinin
Rais Ili Kuondoa harufu hii mbaya ya TOZO, lazima apite na mshauri mkuu wa Mambo ya Tozo.Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele? nilitegemea serikali iseme tunajenga shule zikikamilika tunasimama kwa muda kukusanya tozo mpaka wananchi waseme kama wanaridhishwa na matumiz ya pesa zao!
Tunapenda kuona mapato na matumizi ya Hela zetu.
Mbna sikuelewi we janaume unatetea tozo ziwepo au unatakaje mnk kila Uzi wa tozo lzm uchangie vip mwingulu anakuhudumia nnAnzeni kuwahurumia watu wa Vijijini kwanza ndio muanze kuongea huo ujinga..
Nina Hakika watu wa Vijijini watawapiga Mawe nyie tumbili wa Mijini.
NdioMbna sikuelewi we janaume unatetea tozo ziwepo au unatakaje mnk kila Uzi wa tozo lzm uchangie vip mwingulu anakuhudumia nn
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app