Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

YB Renny

New Member
Joined
Apr 21, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
 
Nenda kaulize kwa mkurugenzi wa manispaa unakoishi labda wana utaratibu wa tofauti
 
Nenda kwa mwenyekiti wa mtaa au jirani yako hapo atakujulisha.

Nilipo huwa wanapita watu wanaozoa kwa sh 500 hadi 2000 kulingana na wingi wa uchafu.

Gari la taka huwa linaenda sehemu wanayokusanya uchafu wootee unaotolewa majumbani na hawa wanaopita kuuzoa
 
Back
Top Bottom