YB Renny New Member Joined Apr 21, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Feb 6, 2023 #1 Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
Imalamawazo JF-Expert Member Joined Jul 27, 2021 Posts 1,343 Reaction score 3,269 Feb 6, 2023 #2 Nenda kaulize kwa mkurugenzi wa manispaa unakoishi labda wana utaratibu wa tofauti
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 6, 2023 #3 Nenda kwa mwenyekiti wa mtaa au jirani yako hapo atakujulisha. Nilipo huwa wanapita watu wanaozoa kwa sh 500 hadi 2000 kulingana na wingi wa uchafu. Gari la taka huwa linaenda sehemu wanayokusanya uchafu wootee unaotolewa majumbani na hawa wanaopita kuuzoa
Nenda kwa mwenyekiti wa mtaa au jirani yako hapo atakujulisha. Nilipo huwa wanapita watu wanaozoa kwa sh 500 hadi 2000 kulingana na wingi wa uchafu. Gari la taka huwa linaenda sehemu wanayokusanya uchafu wootee unaotolewa majumbani na hawa wanaopita kuuzoa