Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Wiki nzima hii umeme unakatila ghafla kila siku Dar es Salaam, tena mara kadhaa hata mara 5 kwa siku tofauti na wiki 2 zilizopita.
Ni ajabu hii imeanza baada tu ya Makamba kuondoka Wizara ya Nishati. Hii nchi kila siku zinazopita inazidi kurudi nyuma. Inatia hasira sana.
Hapa ninapoandika tupo gizani. Umeme unakata ghafla na imekuwa hivyo wiki nzima kuanzia jumatatu.