Suala la umeme linazidi kuwa baya, Sasa ni bora Makamba

Suala la umeme linazidi kuwa baya, Sasa ni bora Makamba

Hapo ni makamba anajisafisha kwamba yeye hakuwa sababu ya umeme kukatika hovyo
Msitekwe akili kirahisi na wapuuzi wenye akili ndogo tu
 
Mheshimiwa alikuwepo tokea enzi za JPM lkn hana kauli ya hali mbaya ya sasa zaidi ya kutoa deadline za ripoti itolewe ya dharura kuh hiki na kile. Yeye kazi ni kuzunguka mchi mzima kukagua vibanda vya walinzi, vitasa na milango ya zahanati kama imekidhi viwamgo vya ujenzi.
 
Shida hamtaki kununua majenereta yamedoda..

Na mafuta yenyewe hakuna
 
Back
Top Bottom