Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Acheni kuendekeza na kupenda anasa. Maisha bila umeme Tanzania yawezekana.Wiki nzima hii umeme unakatila ghafla kila siku Dar es Salaam, tena mara kadhaa hata mara 5 kwa siku tofauti na wiki 2 zilizopita. Ni ajabu hii imeanza baada ya Makamba kuondoka Wizara ya Nishati. Hoi nchi kila siku zinazopita iamzidi kurudi nyuma. Inatoa hasira sana. Hapa ninapoandika tupo gizani. Umeme unakata ghafla na inekuwa hivyo wiki nzima kuanzia jumatatu.
Tanzania bila umeme inawezekanaHalafu dola zipatikane; how? Umeme ni input muhimu ya uzalishaji; hakuna uzalishaji halafu dola ziwe kwenye mzunguko! Crazy!
Kabla ya Makamba kuhamishwa Wizsra Umeme ulikuwa stable sana hadi kukatika ilikuwa ni nadra. Cha ajabu wiki moja tu baadaye umeme unakata kila siku mara kibao.Acheni kuendekeza na kupenda anasa. Maisha bila umeme Tanzania yawezekana.
Acha upumbafu kijana, kuna watanzania kula yao inategemea UmemeAcheni kuendekeza na kupenda anasa. Maisha bila umeme Tanzania yawezekana.
Tusipige kelele dola zinapokosekana; tusipige mayowe mafuta na bidhaa zinapopaa.Tanzania bila umeme inawezekana
Mkuu acha maisha ya anasa umeme kukatika mara 5 ndo ulalamike kweli?Wiki nzima hii umeme unakatila ghafla kila siku Dar es Salaam, tena mara kadhaa hata mara 5 kwa siku tofauti na wiki 2 zilizopita.
Ni ajabu hii imeanza baada tu ya Makamba kuondoka Wizara ya Nishati. Hii nchi kila siku zinazopita inazidi kurudi nyuma. Inatia hasira sana.
Hapa ninapoandika tupo gizani. Umeme unakata ghafla na imekuwa hivyo wiki nzima kuanzia jumatatu.
Wiki nzima hii umeme unakatila ghafla kila siku Dar es Salaam, tena mara kadhaa hata mara 5 kwa siku tofauti na wiki 2 zilizopita.

Tulieni dawa iingie, mzee wawatu alikuwa anawambia mtanikumbuka mnambeza na maneno ya kejeliWiki nzima hii umeme unakatila ghafla kila siku Dar es Salaam, tena mara kadhaa hata mara 5 kwa siku tofauti na wiki 2 zilizopita.
Ni ajabu hii imeanza baada tu ya Makamba kuondoka Wizara ya Nishati. Hii nchi kila siku zinazopita inazidi kurudi nyuma. Inatia hasira sana.
Hapa ninapoandika tupo gizani. Umeme unakata ghafla na imekuwa hivyo wiki nzima kuanzia jumatatu.
Ndiyo maana watanzania wanaoishi nje ya Tanzania hawathubutu kurudi tena huku jehanamuafu unalipia mita unasubiri miezi 3 hujafungiwa, ukitangaza rushwa ya laki na nusu mita inapatikana siku hiyo hiyo. Kuishi TZ unahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.