Mheshimiwa alikuwepo tokea enzi za JPM lkn hana kauli ya hali mbaya ya sasa zaidi ya kutoa deadline za ripoti itolewe ya dharura kuh hiki na kile. Yeye kazi ni kuzunguka mchi mzima kukagua vibanda vya walinzi, vitasa na milango ya zahanati kama imekidhi viwamgo vya ujenzi.