BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it."
Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi.
Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January.
Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani alikua against kutunza mazingira so mbadala wake uwe anayependa mazingira. Tupo hapa sasa. Nchi linazunguka out of control.
Mwisho wa siku kuingiza hela nyingi mtaani hakusaidii kitu, kwasababu ukiwa na hela na umeme haupo huwezi kufanya uzalishaji. Makaa ya mawe tunayo ya kutosha lakini walaa hatuna habari.
KAMA HAKIJAHARIBIKA USIKITENGENEZE.