Suala la upatikanaji wa mikopo ya masomo ya elimu ya juu likiendelea hivi amani itatoweka

SINGLE MAN

Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
38
Reaction score
6
Umoaja, mshikamano,upendo na amani ya nchi ni pale rasili mali za nchi zinaponufaisha wananchi wote, wakulima, wafugaji,viongozi, yatima,wajane, n.k ; Huu utaratibu wa mikopo ni wa kuligawa Taifa liangaliwe upya.Wadau inauma sana mtoto mkulima anakosa mkopo wakati huo mtoto wa Mbunge anapata. Naomba maoni yenu.
 
Pole sana ndg. yangu....

Malipo yote ni hapahapa duniani......

"Seek for the kingdom of God,and every thing shall be given to you"

Usione ubaya kwa aliye mbele yako,Mwamini Mungu wako atakuongoza..
 
Heslb is not fair.. And will Never be Fair! Why Should We be Fair?
 
Ni kweli heslb wanafanya ubaguzi mimi mwenyewe nimehairisha chuo miaka miwili nimesota mtaani. Mwaka huu ndo wamenipa loan. Mimi naenda kuanza wenzangu wanamaliza
 
Pole sana ndg. yangu....

Malipo yote ni hapahapa duniani......

"Seek for the kingdom of God,and every thing shall be given to you"

Usione ubaya kwa aliye mbele yako,Mwamini Mungu wako atakuongoza..

Mtoto wa mwenye uwezo akishaelemika na yule wa mkulima kubaki na ujinga wake; malipo unayozungumzia ni mshahara mnono wa huyo mto wa mwenye uwezo au?
 
Umoaja, mshikamano,upendo na amani ya nchi ni pale rasili mali za nchi zinaponufaisha wananchi wote, wakulima, wafugaji,viongozi, yatima,wajane, n.k ; Huu utaratibu wa mikopo ni wa kuligawa Taifa liangaliwe upya.Wadau inauma sana mtoto mkulima anakosa mkopo wakati huo mtoto wa Mbunge anapata. Naomba maoni yenu.

kwa hyo unaandaa maan*#damano ili watu waudhike angalia sana wewe
 
Back
Top Bottom