Jambo linatupotezea muda huku halita ongeza chochoteKupoteza mudatu, kunamambo mengi yakufanya hasa kuelekeza nguvu kwenye katiba mpya ndio kitu cha maana kwa sasa nandio dawa ya mambo mengine yote ya hovyo hovyo.
Litaongeza hadhi ya utawala boraJambo linatupotezea muda huku halita ongeza chochote
KidogoLitaongeza hadhi ya utawala bora
KATIBA mpya italeta USAWA, viongozi WALAZIMISHWE kufuata Sheria.Hivi hawa wabunge waliofukuzwa na CHADEMA wakifukuzwa bungeni na kuingia wengine 19 ,Taifa kama Taifa tunafaikaje ?
Hivi Nguvu na akili tunazopeleka huko kwa hawa wabunge hatuwezi tumia kujadili mambo mengine ya Msingi ?
Kama Spika wa Bunge na serikali kwa Ujumla hawaoni umuhimu wa kulimaliza hili sisi wananchi ni nani tupoteze muda kwenye hili suala ?
Kwa hiyo ni bora kuwekeza nguvu katika katiba mpyaKATIBA mpya italeta USAWA, viongozi WALAZIMISHWE kufuata Sheria.
Kenya Judge aliamuru Uchaguzi urudiwe na ukarudiwa.
Ni suala la muda tu, tutakuwa tunaangalia picha zao Kisha tunaulizana, ilikuwaje na huyu Akawa kiongozi?
Yote haya yanayotokea yatufundishe KUTORUDIA makosa tukiandika Katiba mpya.Kwa hiyo ni bora kuwekeza nguvu katika katiba mpya
👍Yote haya yanayotokea yatufundishe KUTORUDIA makosa tukiandika Katiba mpya.
Wabunge 19 lengo moja wapo nikupunguza hamasa ya mchakato at the same time ACT kikipewa nguvu kuhujumu cdm
Na watu wameziba maskioNaunga mkono hoja, Hilo ni jambo tunalopaswa kulipuuza kwa sasa, kwa sababu inavyo onekana hata tuongee vipi tutakua tunajitekenya na kucheka wenyewe
Muhimu kwa sasa ni katiba mpyaKwa hiyo hilo sio jambo muhimu?yaani kuna muhimili unavunja katiba halafu wewe wasema sio muhimu?
Binafsi naamini kuna hila mbaya kwenye hili suala la wabunge 19 waliyofukuzwa chadema. Kungekua na nia nzuri speaker ilibidi kuwasimamisha ubunge kama kuna masuala ya mahakama kabla ya kutoa uamuzi wa kusitisha ubunge wao.Hivi hawa wabunge waliofukuzwa na CHADEMA wakifukuzwa bungeni na kuingia wengine 19 ,Taifa kama Taifa tunafaikaje ?
Hivi Nguvu na akili tunazopeleka huko kwa hawa wabunge hatuwezi tumia kujadili mambo mengine ya Msingi ?
Kama Spika wa Bunge na serikali kwa Ujumla hawaoni umuhimu wa kulimaliza hili sisi wananchi ni nani tupoteze muda kwenye hili suala ?
Inaonekana kama una point. Lakini mambo muhimu ni yepi. Kama Katiba ya sasa haifuatwi ile tunayoitaka hata tukiipata itafuatwa? Kuna Marekani mmoja aliwahi sema Watanzania tunakitakia matatizo kwa upole wetu. Kwa mfano mgonjwa anafariki kwa sababu ya uzembe wa daktari, usipomfikisha mbele ya vyombo vya haki unatengeneza uwezekano katika nchi kuendeleza uzembe. Ndiyo maana India au Marekani daktari akiwa hana uhakika wa nini cha kumfanyia mgonjwa anawauliza kwa uwazi kabisa wataalam wanaomzidi ili asimkosee mgonjwa! Tanzania tunafiga uzembe katika kila sekta.Hivi hawa wabunge waliofukuzwa na CHADEMA wakifukuzwa bungeni na kuingia wengine 19 ,Taifa kama Taifa tunafaikaje ?
Hivi Nguvu na akili tunazopeleka huko kwa hawa wabunge hatuwezi tumia kujadili mambo mengine ya Msingi ?
Kama Spika wa Bunge na serikali kwa Ujumla hawaoni umuhimu wa kulimaliza hili sisi wananchi ni nani tupoteze muda kwenye hili suala ?
Spika ana wakubwa wake anawasikiliza piaBinafsi naamini kuna hila mbaya kwenye hili suala la wabunge 19 waliyofukuzwa chadema. Kungekua na nia nzuri speaker ilibidi kuwasimamisha ubunge kama kuna masuala ya mahakama kabla ya kutoa uamuzi wa kusitisha ubunge wao.
Hakuna demokrasia ya kukilazimisha chama cha siasa chochote kua na wanachama wowote wale. Kwa hivyo kina mdee hatimae watatimuliwa tu hata kama mahakama itaamua vipi kwa sababu mahakama pia haiwezi kukilamisha chama cha siasa kua na watu hakiwataki.
Kwa hivyo kinachoendelea ni hila mbaya kwa upande wa uongozi wa bunge. Wanasababisha kina halima kuendelea kufaidika na mishahara na mafao ya ubunge wakati hawana hiyo stahiki. Haya ni matumizi mabaya ya fedha za umma na speaker anawajibika na huu ubadhilifu.