Suala la Walimu kufanya mitihani ndio waweze kuajiriwa liende sambamba na kuanzishwa Teachers Registration Board (TRB)

Suala la Walimu kufanya mitihani ndio waweze kuajiriwa liende sambamba na kuanzishwa Teachers Registration Board (TRB)

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao.

Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa.

Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
 
Kwanini waaalimu Hawana washa wala mafunzo ya Mara kwa Mara?
Mafunzo yanatolewa na nani na kugharamiwa na nani?

Mafunzo yaliyoko ni ya ukimwi, kuwapa watoto dawa za minyoo, umiseta, na kuchangia mbio za mwenge ikiwa nu pamoja na kujinunulia sare za mwenge
 
Hakika kwa hili la board walichelewa na ikibidi wapewe leseni.
 
Mafunzo yanatolewa na nani na kugharamiwa na nani?

Mafunzo yaliyoko ni ya ukimwi, kuwapa watoto dawa za minyoo, umiseta, na kuchangia mbio za mwenge ikiwa nu pamoja na kujinunulia sare za mwenge
Basi wizara ya Elimu tumuuzie DP world au?
 
Walimu wanaonewa sana, wanalazimishwa kujishonea sare za mwenge kwa gharama zao wenyewe
 
Back
Top Bottom