peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Jun 19, 2023 #1 Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao. Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa. Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao. Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa. Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,897 Jun 19, 2023 #2 Kwanini waaalimu Hawana washa wala mafunzo ya Mara kwa Mara?
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Jun 19, 2023 Thread starter #3 Pascal Ndege said: Kwanini waaalimu Hawana washa wala mafunzo ya Mara kwa Mara? Click to expand... Mafunzo yanatolewa na nani na kugharamiwa na nani? Mafunzo yaliyoko ni ya ukimwi, kuwapa watoto dawa za minyoo, umiseta, na kuchangia mbio za mwenge ikiwa nu pamoja na kujinunulia sare za mwenge
Pascal Ndege said: Kwanini waaalimu Hawana washa wala mafunzo ya Mara kwa Mara? Click to expand... Mafunzo yanatolewa na nani na kugharamiwa na nani? Mafunzo yaliyoko ni ya ukimwi, kuwapa watoto dawa za minyoo, umiseta, na kuchangia mbio za mwenge ikiwa nu pamoja na kujinunulia sare za mwenge
Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 3,578 Reaction score 6,740 Jun 19, 2023 #4 Hakika kwa hili la board walichelewa na ikibidi wapewe leseni.
Pascal Ndege JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 2,977 Reaction score 1,897 Jun 19, 2023 #5 peno hasegawa said: Mafunzo yanatolewa na nani na kugharamiwa na nani? Mafunzo yaliyoko ni ya ukimwi, kuwapa watoto dawa za minyoo, umiseta, na kuchangia mbio za mwenge ikiwa nu pamoja na kujinunulia sare za mwenge Click to expand... Basi wizara ya Elimu tumuuzie DP world au?
peno hasegawa said: Mafunzo yanatolewa na nani na kugharamiwa na nani? Mafunzo yaliyoko ni ya ukimwi, kuwapa watoto dawa za minyoo, umiseta, na kuchangia mbio za mwenge ikiwa nu pamoja na kujinunulia sare za mwenge Click to expand... Basi wizara ya Elimu tumuuzie DP world au?
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Jun 19, 2023 #6 sahihi naunga hoja
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,585 Reaction score 7,766 Jun 19, 2023 #7 Walimu wanaonewa sana, wanalazimishwa kujishonea sare za mwenge kwa gharama zao wenyewe