Kwa nilivyofahamu ni kuwa wote wanaweza kuwakilishwa na mawakili na hukumu ikatolewa ,au sivyo kwani kuna mtu amenizika fedha na mimi nipo ughaibuni,nilichokusudia mimi nitakuwa sipo hivyo nitaweka wakili,suali lipo hivi je ninae mshitaki anaweza kudai au kuidai mahakama kuwa ni lazima mimi ninae shitaki niwepo ili kesi iendelee ?