Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Bei mkuu ni kiasi gani?Nunua music system ya maana kama sony, lg n. k utakuja shukuru baadae.
Kuanzia kilo 3. Ongeza kidogo kutoka kwenye hiyo kilo 2 uliyonayoBei mkuu ni kiasi gani?
Sony D140. Home theaterChukua hata SONY ya Watts 300 haizidi tzs 380 elfu.
Kamziki ukikaweka ndani kanapendeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hizi ndiyo.View attachment 1485979View attachment 1485980Sony D140. Home theater
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Subwoofer nunua Sea Piano ile ya 160k uje kunishukuru. Ulizia toleo ambalo ndio limetoka tu halina muda mrefu sokoni.
Kwa bajeti ya 50k -200k achana na Sony hiyo ni bei ya bando za bati, kwa mahitaji yako ya mziki mnene na inayodumu Sea Piano itakufaa, mshua alilinunua miaka hiyo niko sekondary hadi leo na familia lakini lipo lizima linadunda spika tu ndo ililiwa na panya upande.Bei mkuu ni kiasi gani?
Seapiano ukiifungulia kwenye birthday zinakata moto nimekumbuka kangu ka 2015Subwoofer nunua Sea Piano ile ya 160k uje kunishukuru. Ulizia toleo ambalo ndio limetoka tu halina muda mrefu sokoni.
Hii haina bluetooth hii
Uliipata feki, mi yangu inadunda toka 2014 mpaka leo. Some minor wear and tear ila iko freshi!Seapiano ukiifungulia kwenye birthday zinakata moto nimekumbuka kangu ka 2015
Aache kununua IST usedBose wanauza milioni 8 tu. Hutojutia
HahahahahaAache kununua IST used
Itakua aise, ila mkito wake naukumbuka sanaUliipata feki, mi yangu inadunda toka 2014 mpaka leo. Some minor wear and tear ila iko freshi!