Sub Woofer nzuri ni ipi?

Sub Woofer nzuri ni ipi?

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Habarini wana JF, naomba kufahamishwa aina ya sabufa inayodumu kwa muda mrefu na yenye mziki mnene. Nimefanikisha vihela kadhaa hapa sasa sijui nichujue aina gani.

Pia kama ukiniwekea na kabei (bei ya mkulima kuanzia sh.50,000/= hadi 200,000/=) inaweza kuwa rahisi hata kumuagiza mtu aniletee maskani
 
Sony D140. Home theater
Ni hizi ndiyo.View attachment 1485979View attachment 1485980
13-49-04-images.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom