Sub Woofer nzuri ni ipi?

Sub Woofer nzuri ni ipi?

Ili upate OG hakikisha unanunua toleo lililotoka recently. Sio toleo lililokaa sana sokoni mpaka unakuta kampuni pinzani wameiga muundo.
Mara nyingi Rising ama Aililang wana tabia ya kuiga form factor za sea piano baada ya kudumu muda mrefu sokoni.

Ukiona Subwoofer ya aina hio usinunue jua imekaa sana sokoni so kuna ma feki tayari.
 
Mkuu ni pm nikupe sea piano toleo la mwaka Jana ina kila kitu afu nakufanyia bei cheee
 
Back
Top Bottom