Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Game over Simba 4 KMC 1 ila dk ya 80s,..Kulikua na subs za kutosha ingawa ile ya Wawa ilionekana kumkera Pablo hadi akagonga chupa ya maji chini kabla ya kumsukuma Wawa. Pia second attempt ikawa ivo ivo hadi unaonekana Matola kwenda kumbembeleza kumtuliza Pablo lakini wapi....Wawa tuliona akijiendea zake bench hata baada ya Inonga kutoka ikabidi arudishwe uwanjani.
Simba kunani hapo benchi la ufundi.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Simba kunani hapo benchi la ufundi.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app