Sub ya Wawa Imemchefua Kocha Pablo,Ni sarakasi za Mwamuzi, Matola au Ndiyatimana

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Game over Simba 4 KMC 1 ila dk ya 80s,..Kulikua na subs za kutosha ingawa ile ya Wawa ilionekana kumkera Pablo hadi akagonga chupa ya maji chini kabla ya kumsukuma Wawa. Pia second attempt ikawa ivo ivo hadi unaonekana Matola kwenda kumbembeleza kumtuliza Pablo lakini wapi....Wawa tuliona akijiendea zake bench hata baada ya Inonga kutoka ikabidi arudishwe uwanjani.

Simba kunani hapo benchi la ufundi.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu imetia aibu Sana mkuu, hata sijajua ttzo nini hadi kocha awe na reaction kubwa ya Aina Ile!
 
Mkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona

Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.

Basi ungekaribisha watu wajadili .

Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Ukiona mtu katundika uzi ujue unakaribishwa kujadili mkuu. Karibu, sio taarifa wala tetesi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona

Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.

Basi ungekaribisha watu wajadili .

Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Acha ujinga na ujuaji uchwara. Kwani wote walikuwepo uwanjani? Au wote walishuhudia tukio kwny luninga?
 
Wengi hawajaelewa Kwa nn kocha alichukia Hadi kupiga chupa vile,wanajikuta wanachanganya matukio na kutaja matola km anamuhujumu kocha

Ipo hivi kutokana na Sheria ya covid 19 timu inakuwa na kuingiza wachezaji wawili Kwa mpigo refa akiruhusu.Ikitokea mchezaji mmoja ameingia mwingine akabaki km ilivyotokea Kwa Wawa Yule aliyebaki anakuwa hawezi tena kuingia ndani Hadi muda Fulani upite,sasa kitemdo like cha Wawa kutoingia na refa akaruhidu Mpira uendelee kocha ndy akapanick.Kwa hiyo aliyemvuluga kocha ni refarii na siyo matola

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wengi hawajaelewa Kwa nn kocha alivhukia Hadi kupiga chupa vile,wanajikuta wanachanganya matukio na kutaja natoka km anamuhujumu kocha

Ipo hivi kutokana na Sheria ya covid 19 timu inakuwa na kuingiza wachezaji wawili Kwa mpigo refa akiruhusu.Ikitokea mchezaji mmoja ameingia mwingine akabaki km ilivyotokea Kwa Wawa Yule aliyebaki anakuwa hawezi tena kuingia ndani Hadi muda Fulani upite,sasa kitemdo like cha Wawa kutoingia na refa akaruhidu Mpira uendelee kocha ndy akapanick.Kwa hiyo aliyemvuluga kocha ni refarii na siyo matola

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na kocha alionyesha vidole viwili akimaanisha wanatakiwa kuingia wawili aiseee tuna marefa vilaza mno aiseee.....we umeona mchezaji tu kasimama unakimbilia kusimamisha mpira na bango lako ufanye sub
 
Hata mashabiki hamna kitu wengi tumejaa mihemko hatujui Sheria za football.Si umeona comments za huko juu wanavyoparurana na kutukanana? Wengine wanamtupia lawama matola na hitimana wafukuzwe ilhali hawahusiki na chochote kilichotokea

Kocha alitaka waingie wawili km ulivyosema Ila refa kaharibu utaratibu,pengine nae usikute hajui hii Sheria ya covid 19 maana kafanya kosa mara mbili...
Ila kocha ana hasira sn,sasa Ile chupa na lile bango alilopiga Teke vimemkosea nini🤣🤣.Au ndy hasira za kizungu?
 
Mkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona

Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.

Basi ungekaribisha watu wajadili .

Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Mimi sijaona
 
Back
Top Bottom