Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Hujatazama mechiHujaeleweka
Hii kitu imetia aibu Sana mkuu, hata sijajua ttzo nini hadi kocha awe na reaction kubwa ya Aina Ile!Game over Simba 4 KMC 1 ila dk ya 80s,..Kulikua na subs za kutosha ingawa ile ya Wawa ilionekana kumkera Pablo hadi akagonga chupa ya maji chini kabla ya kumsukuma Wawa. Pia second attempt ikawa ivo ivo hadi unaonekana Matola kwenda kumbembeleza kumtuliza Pablo lakini wapi....Wawa tuliona akijiendea zake bench hata baada ya Inonga kutoka ikabidi arudishwe uwanjani.
Simba kunani hapo benchi la ufundi.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Ana mawenge ya kupata article attentionMkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona
Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.
Basi ungekaribisha watu wajadili .
Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Ukiona mtu katundika uzi ujue unakaribishwa kujadili mkuu. Karibu, sio taarifa wala tetesiMkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona
Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.
Basi ungekaribisha watu wajadili .
Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Tusubiri labda watalielezea wahusika. Halafu Simba watake wasitake lazima wanachane na mmoja kati ya Matola na Ndiya yule...Matola anatakiwa asepe pumbavu zake
Acha ujinga na ujuaji uchwara. Kwani wote walikuwepo uwanjani? Au wote walishuhudia tukio kwny luninga?Mkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona
Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.
Basi ungekaribisha watu wajadili .
Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Jipige kifuani Mara tatu kisha jiambie, 'Mimi malantu ni mjinga wakupindukia "Acha ujinga na ujuaji uchwara. Kwani wote walikuwepo uwanjani? Au wote walishuhudia tukio kwny luninga?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jipige kifuani Mara tatu kisha jiambie, 'Mimi malantu ni mjinga wakupindukia "
Ujiambie Mara tatu pia.
Na kocha alionyesha vidole viwili akimaanisha wanatakiwa kuingia wawili aiseee tuna marefa vilaza mno aiseee.....we umeona mchezaji tu kasimama unakimbilia kusimamisha mpira na bango lako ufanye subWengi hawajaelewa Kwa nn kocha alivhukia Hadi kupiga chupa vile,wanajikuta wanachanganya matukio na kutaja natoka km anamuhujumu kocha
Ipo hivi kutokana na Sheria ya covid 19 timu inakuwa na kuingiza wachezaji wawili Kwa mpigo refa akiruhusu.Ikitokea mchezaji mmoja ameingia mwingine akabaki km ilivyotokea Kwa Wawa Yule aliyebaki anakuwa hawezi tena kuingia ndani Hadi muda Fulani upite,sasa kitemdo like cha Wawa kutoingia na refa akaruhidu Mpira uendelee kocha ndy akapanick.Kwa hiyo aliyemvuluga kocha ni refarii na siyo matola
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hata mashabiki hamna kitu wengi tumejaa mihemko hatujui Sheria za football.Si umeona comments za huko juu wanavyoparurana na kutukanana? Wengine wanamtupia lawama matola na hitimana wafukuzwe ilhali hawahusiki na chochote kilichotokeaNa kocha alionyesha vidole viwili akimaanisha wanatakiwa kuingia wawili aiseee tuna marefa vilaza mno aiseee.....we umeona mchezaji tu kasimama unakimbilia kusimamisha mpira na bango lako ufanye sub
Mimi sijaonaMkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona
Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.
Basi ungekaribisha watu wajadili .
Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
yule hana sababu ya kuendelea kwenye benchi,inakwaje kocha mkuu ana wasaidizi wawiliYule mrundi Hitimana asipofukuzwa hatuwezi kwenda kokote. very foolish