Sub ya Wawa Imemchefua Kocha Pablo,Ni sarakasi za Mwamuzi, Matola au Ndiyatimana

Sub ya Wawa Imemchefua Kocha Pablo,Ni sarakasi za Mwamuzi, Matola au Ndiyatimana

Hapana mzee hilo nakataa ni kweli sevilla wapo juu lakini ile mechi walidharau na walikua wanaenda kuaibika, yani kila nikiangalia hadi marudio ile mechi naishia kunyoosha kidole cha kati kwa uchebe popote alipo

Ile mechi alifakisha uchebe ilikua sio ya kufungwa, alichokifanya uchebe ni sawa na kishingo alivopanga kikosi kwenye ile simba day ya mwaka jana yani kila mchezaji alicheza
mkuu unakumbuka baada ya kuwafunga wale majamaa ,ndani ya mda mfupi walikuwa serious gafla wakarudisha na kutupiga za gafla ,wale majamaa walikuwa wanaweza kubadili matokeo mda wowote
 
Mimi sinaga mihemko Kwa watu wenye stress km wewe..hukuwa na sababu ya kuniita pimbi hata km sipo sahihi maana sijaandika ili unitukane

Endapo utaangalia tena Replay ukaona kocha akionyesha vidole viwili kumaanisha wachezaji wanaingia wawili badala yake akaingia mmoja kisha mchezo ukaendelea,utafuata Hilo tusi?
Sasa anamlaumu vp wakati bench lao ndio limemuinua WAWA pekee?? Wewe na huyo Kocha ni wapumbavu kama ndio hivyo.
 
mkuu unakumbuka baada ya kuwafunga wale majamaa ,ndani ya mda mfupi walikuwa serious gafla wakarudisha na kutupiga za gafla ,wale majamaa walikuwa wanaweza kubadili matokeo mda wowote
Tulianza kupata bao dakika ya 9 na daika ya 16 kagere akatia goli la 2, sevilla wamekuja kupata bao la kwanza dakika ya 24 tukiwa bado tuko motoo na tunashambulia kwa kasi, dakika ya 32 boko akatia kamba goli la 3 na kuwadhoofisha kabisa sevilla

Mpaka tunaenda mapumziko score board ilikua inasoma goli 3 kwa moja, uchebe alipokuja kipindi cha pili na kina salamba ndio tulidhoofika timu ilikua haina muunganiko salamba akapagawa na wazungu mpaka akaanza kung"ang"ania viatu vya wazungu
 
Huwezi taka watu waongee vitu unavyopenda kusikia hili ni jukwaa huru

Tukio like ni la ajabu kutokea umeshaona wapi kocha anaenda kumsukuma mchezaji asiingie sub lazima watu waliongelee
Kuwa jukwaa huru haimaanishi upo huru kuongea kila kitu hadi pumba, unaongea ukiwa na facts sio mihemko

Tukio ambalo lingefanyika pale baada ya pablo kumruhusu wawa aingie ndio lingekuwa la ajabu
 
Mkuu mbona umesimulia kitu ambacho kila mmoja kaona

Nikajua Uzi wako, una maelezo mengine yatokanayo na maoni.

Basi ungekaribisha watu wajadili .

Au ndo speed za kuwahi kuandika kilichotokea kabla hujawaiwa???.
Huyu atakuwa Ni priva
 
Kocha si kwamba kaonyesha utoto Ila imeonyesha ni mtu wa mihemko. Ata Kama kulikua na makosa ya aina yoyote hakutakiwa kufanya vitendo alivyo fanya.
 
Wengi hawajaelewa Kwa nn kocha alichukia Hadi kupiga chupa vile,wanajikuta wanachanganya matukio na kutaja matola km anamuhujumu kocha

Ipo hivi kutokana na Sheria ya covid 19 timu inakuwa na kuingiza wachezaji wawili Kwa mpigo refa akiruhusu.Ikitokea mchezaji mmoja ameingia mwingine akabaki km ilivyotokea Kwa Wawa Yule aliyebaki anakuwa hawezi tena kuingia ndani Hadi muda Fulani upite,sasa kitemdo like cha Wawa kutoingia na refa akaruhidu Mpira uendelee kocha ndy akapanick.Kwa hiyo aliyemvuluga kocha ni refarii na siyo matola

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na Kuna mtu anaamini haya maelezo yako
 
Hii ni aibu kubwa kwa makolo ingawa yako hapa kujitetea kwa maneno ya uongo ili kuficha aibu
 
Mi nimekuelewa sana, na simba wangejichanganya tu ile mara ya mwisho wawa akaingia peke yake ingekula kwao! Wangekuwa wamevunja kanuni! Mtu anasema hajawahi kuona dunia nzima[emoji3] hajawahi kuona balotel na makocha wake! Wengi tunapelekwa sana na ushabiki bila kuelewa!
 
Hii ni aibu kubwa kwa makolo ingawa yako hapa kujitetea kwa maneno ya uongo ili kuficha aibu

Yaani nyie mijitu ya utopolo(yanga) mna akili za kipumbavu sana! Yaani jambo ambalo tayari uhalisia umeelezwa mnataka kulazimisha kulikuwa na kitofautiana kwa makocha au wanamgogoro!
Kiukweli utopolo huu ushindi umewaumiza sana, sasa mnataka kuleta porojo zenu ili Timu bora Tz na Africa ifanye vibaya kitu ambacho hakitatokea kama mnavyotaka!
Utopolo fitina zenu zitaishia nyumbani kwa msukule wenu!!
 
Naona kolo Unajaribu kuficha aibu na upumbavu wenu wa kikolo [emoji38][emoji38][emoji38], hii aibu yenu makolo, huwezi kuificha kikolo namna hiyo.
Hata kocha angempiga mtama wawa mngekuja hapa na kutetea kwamba kocha alijikwaa tu wala sio inshu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hata kocha angemlamba matama Paschal Wawa makolo mngesema hapa kocha alijikwaa tu kwa bahati mbaya [emoji1787][emoji1787]

Makolo muli bwaji baba! [emoji1][emoji1]
 
CHUKUA HII, PABLO YUKO SAHIHI, TENA NI PROFESSIONAL HASWAAAA

"Ni hivi Coach alimsimamisha Jimmyson na Wawa badala ya Henock na Kibu!

Wakati wa kubadili Waamuzi wakamwingiza Jimmyson peke yake badala ya wote wawili; Coach akawa mbogo mana unaua nafasi za sub, Ndio maana Pablo Alionesha Vidole viwili Akimanisha kuwa Ilipaswa wote wawili Waingie Kwa Mpigo.

Rejea sub ni mara 3 tu! Wakati mpira unaendelea Tshabalala akaumia ikabidi nafasi ya kuingia Wawa isiwepo! Sasa bado waamuzi wao wakawa wamekariri kuwa ni Wawa ndiye anayeingia! Badala yake ikabidi sub ya Wawa isiwepo sababu Henock ikabidi abaki na
atoke Tshaba aliyeumia!"

Waamuzi walitengeneza Mtego ambao Kocha Asinge kuwa Na Msimamo, Tungepokonywa Point Tatu Leo kwa Sheria Ya Sub.

Sub Zinafanyika 2, 2, 1 ukifanya 2, 1,1,1 ni kosa na Adhabu ni kupokonywa ushindi.
Mkuu hivi unafikiri hii nondo yako hawa Mmemkwa wa utopolo watakuelewa kweli?
 
Hakuna Cha kuelezea ule upuuzi alilofanya kocha watu wamejionea hadharani tena kwa matendo na hisia Kali.Tunachoeweza sema matendo yake ni Kama kaokotwa jalalani. Hawezi kumudu presha ya mpira wa Bongo.
 
Back
Top Bottom