mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Wengi zinawasumbua mkuu! Kukuta honda CR-V namba DS inauzwa million 5 sio jambo la kushangaza
Aisee labda kama mafundi hawazijui wanakimbilia kusema gari mbovu. Yani Australia, Japan, Ulaya, marekani waisifie hii gari huku ndo tuseme ni mbovu. Na kumbuka wanaozipa maksi huko ni watumiaji. Kama Honda ni mbovu, subaru inakuwaje nzima sasa. Na ukiuliza wote wanaosema mbovu wanaweza wasikwambie zinasumbua nini. Honda CRV na Rav 4 ndo mojawapo ya SUV reliable zaidi duniani, tokea model za nyuma mpaka za sasa. Siwezi kukuamulia cha kupenda ila kwenye suala la ubovu ntakuwa mgumu kidogo kukubali