Subaru Forester 2008 vs Mazda C5 2012

Wengi zinawasumbua mkuu! Kukuta honda CR-V namba DS inauzwa million 5 sio jambo la kushangaza

Aisee labda kama mafundi hawazijui wanakimbilia kusema gari mbovu. Yani Australia, Japan, Ulaya, marekani waisifie hii gari huku ndo tuseme ni mbovu. Na kumbuka wanaozipa maksi huko ni watumiaji. Kama Honda ni mbovu, subaru inakuwaje nzima sasa. Na ukiuliza wote wanaosema mbovu wanaweza wasikwambie zinasumbua nini. Honda CRV na Rav 4 ndo mojawapo ya SUV reliable zaidi duniani, tokea model za nyuma mpaka za sasa. Siwezi kukuamulia cha kupenda ila kwenye suala la ubovu ntakuwa mgumu kidogo kukubali
 

Nazile crossroad vp maana kama nazielewaga vile kimuonekano
 
Mafundi wanasema ziko vizuri, sema wanasema zinasumbua sana chini kwenye miguu (matairi) zinahitaji marekebisho ya mara kwa mara tofauti na SUV zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…