Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, DPF ndio nn? Elimu kdgSubaru ni reliable ikifika unafikia kuanza safari
CX-5 ikifika unaanzia kwa fundi kufuta DPF sijui na kuweka bati
Body size ya subie ni kubwa kuliko c5, means more spaceSubaru ni reliable ikifika unafikia kuanza safari
CX-5 ikifika unaanzia kwa fundi kufuta DPF sijui na kuweka bati
MhBody size ya subie ni kubwa kuliko c5, means more space
Thanks bado mchuano ni mkali aiseeMimi choice yangu ni Mazda. Sababu kuu ni diesel engine. Pia Ni unyama sana ndani na body kinanda
Thanks mkuu Nawaza zaidi Subaru pia sababu naishi kwenye rough roads za kibadaSubaru ni reliable ikifika unafikia kuanza safari
CX-5 ikifika unaanzia kwa fundi kufuta DPF sijui na kuweka bati
Google or youtube utapata maekeze mazuriMkuu, DPF ndio nn? Elimu kdg
KweliBody size ya subie ni kubwa kuliko c5, means more space
Rough road ndo kwakeThanks mkuu Nawaza zaidi Subaru pia sababu naishi kwenye rough roads za kibada
Multi-skilled mtaalam kashasema uamuzi ni wako.Budget sio tatizo aende Mazda kama atleast kwa week anaendesha atleast 150km kama below atulie Subaru.
Sidhani kama zinatofautiana sana. Itakua kidogo sana.Body size ya subie ni kubwa kuliko c5, means more space
Sema wote wana magonjwa yao, unajua Mazda ana mapungufu yake (ila rahisi kuya-treat kabla hayajawa shida) same na Subaru.Multi-skilled mtaalam kashasema uamuzi ni wako.
A-google reviewers wa mbele/nje ya TZ. Hawa wa kwetu elimu ya magari ndogo. Wanaishia kupiga makelele tu na kusifia CCMGoogle or youtube utapata maekeze mazuri
Duh ebu tulia na Subaru. Mazda waachie vijana wa town.Thanks mkuu Nawaza zaidi Subaru pia sababu naishi kwenye rough roads za kibada