Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Yaelezee mkuu tuongeze ujuzi.Sema wote wana magonjwa yao, unajua Mazda ana mapungufu yake (ila rahisi kuya-treat kabla hayajawa shida) same na Subaru.
Ila matatizo ya Subaru unasuburi yatokee ndio uyatreat.
Kwa Mazda rahisi, DPF na cooling system rahisi kudeal nazo, tena kwa budget ndogo.Yaelezee mkuu tuongeze ujuzi.
Sahihi kabisaa...Duh ebu tulia na Subaru. Mazda waachie vijana wa town.
Kwa hizo creteria zako zote zinapatikana kwenye Toyota serve for performanceNataka kupiga chini Toyota naomba ushauri kati ya vyuma viwili hapo juu kwa vigezo vya
Reliability
performance
Handling
Longetivity
Thanks
kwahiyo ukawaomba vijana wa NIT wakusukume na mademu zaoKwa Mazda rahisi, DPF na cooling system rahisi kudeal nazo, tena kwa budget ndogo.
Kuna CX-5 jumamosi nilikua naendesha kumbe ina matatizo ya cooling, imenizimia hapo Mabibo hostel barabarani. Wakaja watu wanisikume.
Nikasema no-way mi sio wa kusukumwa aisee ndio mara ya kwanza toka niwe na gari. Nikamuita fundi nearby yeye ndio asukumwe mi nipo mita 100 ova ndugu mpita njia.
Kuja kucheki inavujisha coolant, sasa sijajua inavuja pipe vimepasuka au bypass au coolant inaingia kwenye oil (kama gasket imekufa) namuuliza imewahi overheat mara ngapi anasema x4 hivi.
Na hii kelele ya kwenye tairi la nyuma, breki zinakula rotor.
Dah maisha haya. Watu kikubwa gari linatembea vingine haviwahusu.
Hiyo si gari ya maskini, labda kama unaongelea fuel consumption peke yake. Lazima ugharamie service yake kila km 5000, uweke oil sahihi na service nyingine muhimu zinazotaka modern diesels.Ila mazda CX5 walioidesign walikuwa wanyama sana,bonge la gari.
Yaani hata masikini analimudu kulihudumia and at the same time anavimba na wenye magari ya bei kubwa