project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Wakuu matumaini ni wazima naomba kujua ipi gari nzuri kati ya Subaru Forester ya mwaka 2009 na bmw x3 ya mwaka 2009 kwenye comfability fuel efficiency durability vipuli na nk
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Comfortability - BMW
Durability - SUBARU
Fuel efficiency - Hii inategemea na model (Subaru yenye turbo inakula mafuta zaidi kuliko non turbo). Non turbo haitakuwa na tofauti na X3 ya 2500CC
Vipuri - siku hizi vyote vinapatikana ila Subaru itakuwa rahisi kidogo (gharama)
Naongezea nyingine
Practicality- Subaru, why? Utafanya nayo vitu vingi na kwenda nayo popote bila usumbufu. Sijawahi kumiliki BMW ila reviews nyingi zinasema ni pasua kichwa.
Wajuzi zaidi watasema
Hasa kwenye spare, Baadhi ya spare zake upatikanaji ni mgumu hapa nchini, hadi uagize nje ya nchi, mfano hai huu hapa, hizi ni order za wiki jana.BMW ila reviews nyingi zinasema ni pasua kichwa.
Chukua BMW mzee. Achana na maneno ya waswahili.
Bongo ukitaka kusikiliza majority, hutanunua gari nyingine tofauti na toyota.
Subaru siyo TOYOTA mtaalam au labda sijakuelewa. Na nadhani mtoa mada anataka comparison ya hayo magari mawili, angesaidiwa
Mkuu umepatia sana, BMW X3 ingefaa zaidi kama ni gari unaichukuwa ukiwa na gari nyingine kama backup, ikiwa nzima una enjoy sana, comfortable na hata advanced technology , nafikiri kwa 2009 walikuwa wameshaanza kuweka infotainment system nzuri, tatizo haipo reliable kuitumia kama gari yako pekee, ukasema unaipeleka mkoa hadi mkoa mwingine bila kuwa na mashaka kama haitakulaza porini au hautaibua matatizo mengineComfortability - BMW
Durability - SUBARU
Fuel efficiency - Hii inategemea na model (Subaru yenye turbo inakula mafuta zaidi kuliko non turbo). Non turbo haitakuwa na tofauti na X3 ya 2500CC
Vipuri - siku hizi vyote vinapatikana ila Subaru itakuwa rahisi kidogo (gharama)
Naongezea nyingine
Practicality- Subaru, why? Utafanya nayo vitu vingi na kwenda nayo popote bila usumbufu. Sijawahi kumiliki BMW ila reviews nyingi zinasema ni pasua kichwa.
Wajuzi zaidi watasema
Kubali tu umetoa boko...Angalia nilichoquote halafu relate na nilichoandika... .
Notedninauza magari na nishawahi miliki tyoe tofauti almost 3 za bmw na kupitia experience yangu ni kwamba.
kama ndo gari yako ya kwanza sikushauri kabisa kuanza na bmw,labda iwe ulishawahi kuzinunua/kutumia kabla
au nunua bmw X3 endapo unagari nyingine hyo iwe ni gari tu ya safari au siku maalum kama utakuwa mjanja utagundua nyumba nying zenye bmw huwa zina ist au hata honda click na ndo maana huwez kukuta bmw nyingi watu wanatembelea moshi bar au mazizini bali utazikuta sehem fulani luxury sabab ni gar weng huztumia kwa matumiz maalum
Forester ziko vizuri but hizo zenye turbo zikimbie kwani ni pasua kichwa
Mbona kaeleweka mkuu labda kimahakama ndio kakosea kwamba mtu anaweza kuruka akasema 'hii ni TVS sio bajaji[emoji23][emoji23]Kubali tu umetoa boko...
Umemquote mshikaji aliyeshauri jamaa achukue SUBARU aachane na BMW.
Sasa wewe from nowhere ukashadadia Habari za TOYOTA.
Hakuna mahali ameshauri jamaa achukue TOYOTA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kaeleweka mkuu labda kimahakama ndio kakosea kwamba mtu anaweza kuruka akasema 'hii ni TVS sio bajaji[emoji23][emoji23]