Ukifwata maneno ya watu humu ununui gari unayo itaka,nilikiwa na crown ya 2004 nilitumia kama mwaka nikaauza ,nikanunua bmw series 3 E90 ya 2010 yana kilamtu aliongea itakusumbua nilichukua ina kilometa 38000 mpaka leo nakilometa 69700 miaka 2 aijawai nisumbua zaidi ya kumwago oil na kubadili break pads na sina gari nyingine naitumia kwenye shuulizangu na safari zangu zote,kikubwa fanya unacho penda na kuamini ,ukikwama basi una wa kumlaumu, trust me BMW ni zaidi ya gariMuwache bana aje kuwa balozi mzuri kwa wengine! Raha ya ngoma mtu uicheze sio kusimuliwa[emoji23]