Ilikuwa Imprenza i guess.Mkuu nakumbuka kuna kipindi ulituambia umeshakamata Subaru forester na picha ulituonesha sasa inakuaje tena unauliza kuhusu engine zake?
Turbo inaleta consumption nzuri ya mfuta kama AFR iko adhered to. And thts the main reason ya kuinstall turboWakuu wa jamvi habari zenu,
Naomba kuuliza tofauti haswa ya hizi engine mbili. Yenye turbo na isiyo na turbo zote zikiwa na Cc 1990. Nahitaji kufanya uchaguzi sahihi. Nafahamu Turbo inakula sana wese, He consumption zake za mafuta zinatofautiana kwa kiasi gani. Ahsanteni
Poa mkuu hongera Sana...Nina Impreza now, nataka kuamia kwenye SUV