Subaru Forester Turbo Vs Subaru Forester Normal Cc1990

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
851
Reaction score
1,168
Wakuu wa jamvi habari zenu,

Naomba kuuliza tofauti haswa ya hizi engine mbili. Yenye turbo na isiyo na turbo zote zikiwa na Cc 1990. Nahitaji kufanya uchaguzi sahihi. Nafahamu Turbo inakula sana wese, He consumption zake za mafuta zinatofautiana kwa kiasi gani. Ahsanteni
 
Turbo inaleta consumption nzuri ya mfuta kama AFR iko adhered to. And thts the main reason ya kuinstall turbo
 
Mkuu una maana turbo consumption uko chini? Mbona ni tofauti na nilivyodhania
 
Back
Top Bottom