Ndugu kila mtu ana sekta yake, Mi sijui kuhusu magari, ndio maana naomba ushauri na mapendekezo ya gari ipi itafaa zaidi. Pia nimeweka aina za gari ambazo nimeona nazimudu gharama. ningesema tu gari huenda kuna watu wangependekeza V8 hapa.Kwa hiyo anaetaka gari ni mtu A lakini anaechagua aina ya gari hiyo ni mtu C?
A na B wote hawana mamlaka wala uhuru wa kuchagua aina ya gari hiyo!View attachment 2008852
Mimi nazungumzia juu ya mke wako.Kwa nini hujampa mke wako fursa ya kuchagua gari anayoipenda?Ndugu kila mtu ana sekta yake, Mi sijui kuhusu magari, ndio maana naomba ushauri na mapendekezo ya gari ipi itafaa zaidi. Pia nimeweka aina za gari ambazo nimeona nazimudu gharama. ningesema tu gari huenda kuna watu wangependekeza V8 hapa.
Fafanua tatizo lake nini?Achana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...
Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...
Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako
Hahahaha 😂 😂😆 jamaa ana mambo mengi Sana pengine ujana unamsumbua piaSio yeye tu, anataka na sisi tumchagulie ili akisusa kumzalia aje kutulaumu huku 😳😳
Huna hela ya kuihudumia kwanini uliinunua sasa? Bora hata uliikimbilia kichwa kichwa imekupiga za uso.Achana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...
Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...
Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako
Achana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...
Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...
Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako
[emoji23][emoji23]hela za kupata kwa msimu afu ndo anategemea kuihudumia forester. Lazima adateSasa mwezi mmoja tu umepata experience gani? Labda ufafanue
Atakuwa kaelewa, kama unatoa pesa yako kununua wese halafu hakuna unachofanya, inauma sanaAchana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...
Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...
Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako
Fafanua tatizo lake nini?
Gari ilikua inanipa 6km per L tena sio sehem za folen...
Nimeweka plug mpya, oil mpya ya injini na gear box kwa 0-60 lkn wap...
Gari imekuja na bearing zinavuma, bei yake sasa....
Spares zake hazishikiki...
Ofcoz ni gari ambazo unatakiwa uwe na ela mda wote...
Nikiri kwamba sikufanya research ya kutosha kuhusu hizi gari, ni gari ambayo itakupaswa usiwe na huruma na pesa zako
Bro unapokuja kwenye suala la pesa kila mtu ana kipato chake, kuna mtu anamuda bajeti ya 100,000 kwa wiki kwenye wese, wengine 30K... nunua gari kutoka na uwezo wako wa kulihudumia... sasa unakuja kulalamikia kipato chako?... kwanza mtu mwenye kipato kidogo faster atakimbiloa passo, Ist and the likes...Achana na Subaru XT kaka, nimetokea kuzichukia hizi gari...
Nimeuza yangu juzi haina hata mwezi toka itoke bandarini...
Vijana wanalazimisha zile gari, ukweli ni kwamba wengi wanateseka nazo, zinafilisi...
Labda usiwe na huruma na ela zako
Atuambie alikuwa anaweka mafuta ya sh ngapi kwa wiki.... isijekuwa alikuwa anatumia bajeti ya mafuta ya bajaji... huyu hata bajeti ya IST atakuwa analalamikaSasa mwezi mmoja tu umepata experience gani? Labda ufafanue
Forester sio ya kula 6km/L..ilikua na shida mahali. Au uendeshaji wako. Unai-override ukishajua ni subaru tu unamwaga moto mpaka unatoka Economic mode. Mimi nina subaru nakaa Bunju napiga kazi Posta, kwa week naeka mafuta ya kama 150-160kk full tank na nateleza nalo week nzima. Kuna kipindi nilikua na dereva uncaring asee...ile gari ilipata cha moto asee. Yani akishajua tu gari ni subaru na ina turbo akilini mwake anadata. Imagine kwa week nikawa naweka mafuta ya karibia 250k. Naweka karibia full tank mbili kwa wiki yaniiGari ilikua inanipa 6km per L tena sio sehem za folen...
Nimeweka plug mpya, oil mpya ya injini na gear box kwa 0-60 lkn wap...
Gari imekuja na bearing zinavuma, bei yake sasa....
Spares zake hazishikiki...
Ofcoz ni gari ambazo unatakiwa uwe na ela mda wote...
Nikiri kwamba sikufanya research ya kutosha kuhusu hizi gari, ni gari ambayo itakupaswa usiwe na huruma na pesa zako
Naona alikuwa anaipa moto wa kutosha. Mtu akitaka kumuovateki nae anakiwasha asipitwe.Forester sio ya kula 6km/L..ilikua na shida mahali. Au uendeshaji wako. Unai-override ukishajua ni subaru tu unamwaga moto mpaka unatoka Economic mode. Mimi nina subaru nakaa Bunju napiga kazi Posta, kwa week naeka mafuta ya kama 150-160kk full tank na nateleza nalo week nzima. Kuna kipindi nilikua na dereva uncaring asee...ile gari ilipata cha moto asee. Yani akishajua tu gari ni subaru na ina turbo akilini mwake anadata. Imagine kwa week nikawa naweka mafuta ya karibia 250k. Naweka karibia full tank mbili kwa wiki yanii
Ndo shida inakuja hapo sasaNaona alikuwa anaipa moto wa kutosha. Mtu akitaka kumuovateki nae anakiwasha asipitwe.
Yaani mwezi mmoja matatizo yote haya hii itakuwa ni chaiGari ilikua inanipa 6km per L tena sio sehem za folen...