Subaru Impreza Hatchback ni Chaguzi Sahihi??

Kwanza hii inawezekana Kuna baadhi ya makampuni japan wanakwambia kama unataka kufanyiwa service huku (Japan) unaongeza hela mi nakushauri fanyia japani tena waambie wakufungie na tairi mpya
 
Kwanza hii inawezekana Kuna baadhi ya makampuni japan wanakwambia kama unataka kufanyiwa service huku (Japan) unaongeza hela mi nakushauri fanyia japani tena waambie wakufungie na tairi mpya
Bajeti imebana kidogo ila nitaconfirm nao kujua gharama zinakuaje. Thank you so much for your inputs
 
Nimekuta nikirudia hii comment yako Mara kwa Mara, Mkuu unamiliki Impreza??
 
Mkuu oil gani unatumia inakupa 20,000km? Tusaidiane tuone labda tunaweza kutumia kwenye mikweche yetu.
 
Utakuwa na uhakika gani kuwa imefanyiwa service? Imagine used car unauziwa fob $1000 or less, service parts OG $100,labor maybe $100 kweli atumie $200 then aje kumuuzia $1000! Ushauri wangu gari ikifika tu fanya service mwenyewe.
 
We nae roho mbaya tu,kwa tusiokuwa na mawazo ya kimaskini tumemuelewa kwanini hilo nalo amelijumuisha kwenye bandiko lake.

Ili kila atakaemshauri aangalie umuhimu wa kwamba ni gari nzuri au siyo nzuri maana anaonyesha atakaa nayo mda mrefu sana,pia wakati mwengine nyuzi kama hizi ukiwa inspired huwa zina manufaa sana kama ukawa na wivu wa maendeleo.
 
Truth has been spoken. Shukrani sana kwa kunielewa Mkuu. Tumsamehe tu bure Jamaa yetu
 
Utakuwa na uhakika gani kuwa imefanyiwa service? Imagine used car unauziwa fob $1000 or less, service parts OG $100,labor maybe $100 kweli atumie $200 then aje kumuuzia $1000! Ushauri wangu gari ikifika tu fanya service mwenyewe.
Sasa hapo kunakitu tunakiita uaminifu kwenye biashara
 
Ukweli hata mimi subaru huwa hainivutii kabisa
 
Utatumia sh.ngapi hadi.kuitoa bandalini?
 
Kaka najua ushapata ushauri mkubwa kutoka kwa watu ila nachokwambia ni kuwa kama unataka gar ya alinunua babu had mjukuu anatumia chukua subaru regardless kama ni impreza ama legacy ama forester as long as ni non turbo hutajuta

Mkuu naomba ufafanuzi tofauti ya turbo na non turbo engine na unaweza kuzitambuaje (mimi sina ujuzi kabisa wa magari?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…