Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
Kwanza hii inawezekana Kuna baadhi ya makampuni japan wanakwambia kama unataka kufanyiwa service huku (Japan) unaongeza hela mi nakushauri fanyia japani tena waambie wakufungie na tairi mpyaWadau nimeagiza Subaru Impreza Hatchback 1.5L 2007 with 79000KM. Kuna Uzi niliousoma humu JF kwamba unapoagiza gari wakati wa pre inspection inakuwa inafanyiwa kabisa na service huko hivyo ukija hakuna haja ya service ni moja kwa moja kuingia barabarani. Je, ni sahihi?so sihitaji kabisa kumwaga oil wala kubadilisha filter ama kufanya general check up?? Nasubiri maoni yenu.