Subaru Impreza Hatchback ni Chaguzi Sahihi??

Mkuu Power ya hii Impreza iko juu sana kulinganisha na IST. Iko na 6000rpm horse power. Hapa nadhani inakwenda sambamba na crown 2.0L/2.5L
hahahah mkuu umenistua sana hapa [emoji23] dont ever compare hyo subaru impreza boxer engine 1.5 natural aspirated na mziki wa crown 4gr-fse

hyo subaru maximum output yake ni 108 bhp at 6000rmp

while crown ya 2.5 v6 4gr-fse maximum output ni 210 bhp at 6000 rpm

boxer engines za 2.0 natural aspirated ndio ndio zinaweza kukeep up na crown or mark x ya 2.5 4gr


na ukiikuta tu mark x au crown yenye 3.0 3gr-fse hapo ukija tu na subaru ej20 boxer engine non turbo unakalishwa vizuri tuuuuuuu na hata ej 20 boxer engine turbocharged kama hujaitekenya una kaa vizur tuuy
 
Mkuu Power ya hii Impreza iko juu sana kulinganisha na IST. Iko na 6000rpm horse power. Hapa nadhani inakwenda sambamba na crown 2.0L/2.5L
hizo ni rmp na sio horse power...maximum horse power ya hiyo gari ni 108 brake horse power at 6000 rpm
 
Mi sijaona gari zaidi ya mark 2 grande gx115 yaani ulaji wa mafuta roho ya paka everything
 
 
Mkuu oil gani unatumia inakupa 20,000km? Tusaidiane tuone labda tunaweza kutumia kwenye mikweche yetu.


kaka Ubora wa Oil ni mfuko wako, we fanya research kidogo kwenye mitandao utaona manufacturer recommended oil nyingi zao zinaanzia 15k tu 30k. na hasa ni castrol oil .

kwa kifupi mara nyingi nimekuta SUBARU, BMW and NISSAN wana recommend same oil, ambazo kwa bongo lita ni around 15000 tu 25000, tena hiyo ni kwa manual car, mfano subaru legacy ya 2000 recommended yake oil kwa manual ni 150,000 auto ni 270000

nanunuaga vituo vya puma vya town tu ndo wanazo hasa pale kituo cha kona ya fire, gear oil pia inacheza 150k

NB: angalizo kama oil yako imechoka bora endelea kutumia za elfu 30 had 50, maana oil hiz quality viscovity yake ni ndogo mno so kwa vyuma vilivyoanza kusagika inashauriwa utumie nzito kiasi. ila kama Engine bado mpya ukiwasha hata saaa sita mchana unasikia harufu ya Udi😉😉😉 kwenye bomba la moshi huku likitoa hewa ya joto au transparent smoke na sio moshi mweupe basi ujue Engine kinanda. tumia oil quality
 
Mkuu naomba ufafanuzi tofauti ya turbo na non turbo engine na unaweza kuzitambuaje (mimi sina ujuzi kabisa wa magari?)


sina ujuzi sana ila kwa haraka nachoweza kukwambia mfumo wa ambao kifaa flani kinafungwa kwneye gari ili kuongeza mgandamizo wa hewa kwenye chemba ya mlipuko ya Engine ili kuongeza uwezo wa Engine power output.

mfumo wa turbo unaruhusu Engine kuvuta hew nyingi ndoo maana inakuwa na pua pale mbele ingawa sio zote zenye pua zinakwua zinaturbo na pia gari za turbo zitatumia mafuta zaidi kidogo kuliko ile gari isiokuwa na turbo ingawa utofauti sio mkubwa sana tofauti na watu wanavyoamini.

na kwa urahis utaijua gari kama ina turbo mara nyingi inakuwa na pua mbele (hood) na ambapo chini yake kuna airfilter, na pembeni hicho kifaa cha turbo utaona kimefungwa. ingawa wabongo wengi wanadhani kubana mulfer gari ibadili sauti ndio ameweka turbo. hawajui wanaua gari maana mfumo wa Turbo halisi ni wa gharama, sio hizi turbo za laki ngapi sijui anakufungia na kubana mulfer unaona umemaliza


naamini wajuzi watakuja na mengi na kama nimekosea watanisahihisha I STAND TO BE CORRECTED
 
Gari umeitumua six years na una Km 65000 afu unasema unaitumia saana?!? Au sijakuelewa?!? Hizi 65000 ni km za mwaka mmoja tu.
 
Mkuu, kwa utangulizi wako, kama ulianza na nyumba, basi wewe sio Impreza type. Nakushauri utafute gari practical kwa matumizi ya familia.
Ahsante, pls be specific unaongelea gari gani yenye specification kama nilizoeleza hapo juu. Reminding you, kuwa na nyumba haimaanishi kuwa na familia kubwa
 
Kwangu mie power + Speed. Less than 260km/hr forget! Hizo za 1.2 akina mama kwendea sokoni. Na kazini mjini tu.
 
Gari umeitumua six years na una Km 65000 afu unasema unaitumia saana?!? Au sijakuelewa?!? Hizi 65000 ni km za mwaka mmoja tu.

gari imeingia in 100,000 sasa ina around 165000, ni kweli kwa wengine 65000 ni kama za mwaka mmoja ila miaka miwili mitatu ya kwanza shughuli zangu zilikuwa limited to dar, safar za mbali zimeanza kama miaka miwili nyuma, na kingine naposema nimeitumia sana haiishii kwenye kiasi cha km zilizopo namaanisha ni kuwa sababu kagari kenyewe ndio hako hako nililazimika kukatumia kila mahali hata kwenye barabara ambaqzo sio rafiki, na unajua barabara zetu.nina jamma yangu ana spacio lakini alikuwa kila baada ya miez sita anabadili shockup na vitu vingine sababu ya njia.
 
What about BMW 5 Series? Benz C/S series?
 
Usiseme haili kivile wakati unajua dhahiri mzigo ni boxer engine. Hauna cha vvti wala valvematic
 
Mkuu Power ya hii Impreza iko juu sana kulinganisha na IST. Iko na 6000rpm horse power. Hapa nadhani inakwenda sambamba na crown 2.0L/2.5L
kama itakua sawa na crown mushaulini asichukue crowni ninayo hapa inanifia mafuta inafanya kunywa du hatari.
 
chukua aud a4 bonge gari gari ya kijanja utaipenda hiyo bei kat m.15 au juu kidogo..hukupa taarifa kila gari inapo kupa hitilafu
 
chukua aud a4 bonge gari gari ya kijanja utaipenda hiyo bei kat m.15 au juu kidogo..hukupa taarifa kila gari inapo kupa hitilafu
Mkuu ebu funguka kidogo kuhusu audi mana ni vizuri kubadilisha sio kila siku Japan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…